
VETA Mkuu wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma cha Mkoa wa Dar es Salaam anatangaza nafasi za Mafunzo ya Ufundi wa Nguo na Ubunifu wa Mitindo na Mavazi (Textile and Fashion Designing) katika ngazi ya astashahada, Stashada (Diploma) kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
Level & Duration | Entry Qualifications |
---|---|
Astashahada ya ufundi wa nguo na ubunifu wa mitindo ya mavazi (nta level 4 technical certificate in textile and fashion design) kwa muda wa mwaka mmoja (1) | Sifa za kujiunga – awe amehitimu kidato cha nne na kupata daraja la tatu (nva level 3) kutoka chuo cha veta au vyuo vinavyotambuliwa na veta na mwenye ufaulu wa “d” katika masomo ya mchepuo wa maarifa ya mavili ya nguo na mavazi (fashion and textile) au – awe amehitimu elimu ya kidato cha nne (form four) mwenye ufaulu usiopungua alama “d” katika somo la sayansi ya jamii |
Stashahada ya ufundi wa nguo na ubunifu wa mitindo ya mavazi (ordinary diploma in textile and fashion design) kwa muda wa miaka miwili (2) | Sifa za kujiunga – awe amehitimu astashahada ya ufundi wa nguo na ubunifu wa mitindo ya mavazi kutoka chuo kinachotambuliwa na veta au nactvet. masomo ya ufundi yanayokubalika ni fashion and textile, fashion and design, tailoring, sewing, tailoring and clothing technology, tailoring and dressmaking, designing and clothing technology nk. au – awe amehitimu elimu ya kidato cha sita (form six) mwenye ufaulu wa kiwango cha chini cha msingi (principal pass) na msaidizi (subsidiary pass) |
Utaratibu na muda wa maombi | Fomu za maombi zinapatikana chuoni katika ofisi ya msajili wa wanafunzi – chuo cha ufundi stadi na huduma mkoa wa dar es salaam – chang’ombe kuanzia tarehe 09/06/2025 kwa gharama ya tsh 10,000/= mwisho wa kuchukua fomu ni tarehe 30/08/2025. masomo yataanza october 2025 |
Kwa mawasiliano zaidi piga simu: 0786 784 788 au 0627425776
Imetolewa na: mkuu wa chuo cha ufundi stadi na huduma mkoa wa dar es salaam.