- Posted by:
- Posted on:
- Category:
ElimuElimu - System:
Unknown - Price:
USD 0
Leo katika makala360, Hii hapa Ada ya Chuo cha Mbeya MUST 2025, na Gharama zake Wanafunzi wanaosomea programu za Diploma wanaweza kujiunga na Chuo kupitia udhamini wa serikali, udhamini binafsi, au kuomba ufadhili wa masomo au mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Wanafunzi wanaosomea programu za Shahada ya Kwanza nao wanaweza kuomba ufadhili wa masomo au mikopo kupitia HESLB.
Angalizo: Ada zinaweza kubadilika kulingana na hali halisi ilivyo kwa wakati husika.
Soma zaidi: