- Posted by:
- Posted on:
- Category:
ElimuElimu - System:
Unknown - Price:
USD 0
Leo katika makala360, Jifunze Jinsi ya Kuomba Malazi Chuo cha Mbeya MUST hatua kwa hatua kupitia tovuti ya www.must.ac.tz.
- Fungua tovuti ya chuo:
- Andika: www.must.ac.tz kwenye kivinjari chako.
- Fikia mfumo wa SIMS:
- Bofya sehemu iliyoandikwa SIMS (ipo juu upande wa kulia wa ukurasa).
- Ingia kwenye akaunti yako kwa mara ya kwanza:
- Username: Ingiza admission number yako.
- Password: Ingiza jina la ukoo kwa herufi kubwa (mfano: DAUDI).
- Kisha bofya Login to Your Account.
- Badilisha nenosiri lako:
- Ingiza password mpya sehemu ya New Password (zingatia masharti, mfano sahihi: Daud@2024).
- Rudia tena hiyo password sehemu ya Confirm New Password.
- Bofya Reset Password.
- Ingia tena kwa kutumia taarifa mpya:
- Username: Admission number yako.
- Password: Password mpya uliyoitengeneza.
- Bofya Login to Your Account.
- Anza mchakato wa kuomba malazi:
- Bofya sehemu ya Accommodation.
- Kisha bofya Apply Accommodation.
- Jaza fomu ya maombi:
- Jaza fomu inavyoonekana kwa usahihi.
- Kwa wenye ulemavu, ambatanisha cheti cha ulemavu.
- Kisha bofya Send Application.
- Angalia mrejesho wa maombi yako:
- Bofya sehemu ya Application Status kuona hali ya ombi lako.
Soma zaidi: