- Posted by:
- Posted on:
- Category:
AjiraAjira - System:
Unknown - Price:
USD 0
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Wilaya ya Same 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same amepokea Kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu – ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia baru ayenye Kumb. Na. FA.228/613/01F/072 ya tarehe 10.03.2025. Hivyo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi tajwa hapa chini.
Gusa picha kuona ajira zilizotangazwa kisha tuma maombi kwenye linki hapo chini.
.Soma makala zaidi: