Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Health Assistant Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) au Kidato cha Sita (Form VI) pamoja na Cheti cha mwaka mmoja katika fani ya Afya kutoka chuo kinachotambulika.

Pia, mwombaji atatakiwa kuhudhuria na kufaulu mafunzo ya awali ya kijeshi (recruit).
Tuma maombi hapa https://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/10406
Naomba ajira