Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 770
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoTeacher
Asked: June 13, 20252025-06-13T18:29:50+03:00 2025-06-13T18:29:50+03:00In: Fursa

DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER II) – 383 POST

  • 0
  • 0
DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER II) - 383 POST
POSTDAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER II) – 383 POST
EMPLOYERMDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:2025-06-13 2025-06-26
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.           Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, magonjwa ya akina mama na upasuaji wa kawaida na wa dharura.ii.         Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la kazi.iii.       Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.iv.       Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.v.        Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi.vi.           Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi.vii.          Kusimamia na kuelekeza wafanyakazi walio chini yake.viii.        Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo.ix.           Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.x.             Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya.xi.           Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality   improvement).
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa wenye Shahada ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo    vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza “Internship” na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
REMUNERATIONTGHS E

Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • OFFICE ASSISTANT II - 16 POST TPA

    • 0 Answers
  • SECURITY GUARD II - 50 POST TPA

    • 0 Answers
  • PLANNING OFFICER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • HYDROGRAPHER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • DIVER II - 5 POST TPA

    • 0 Answers

Trending

Ajira HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara SIKONGE TPA Usaili Utumishi

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360