
| POST | DOBI DARAJA LA II. – 56 POST |
| EMPLOYER | MDAs & LGAs |
| APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-13 2025-06-26 |
| JOB SUMMARY | NA |
| Majukumu | •Kufanya uchambuzi wa nguo kwa ajili ya kuosha, kukausha, kunyoosha na kuzifungasha. |
| Sifa za mwombaji | Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofuzu mafunzo ya miaka miwili au mitatu katika fani ya Dobi (Laundry Services) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. |
| Mshahara | TGHS B |
Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.