Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 797
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoBegginer
Asked: June 13, 20252025-06-13T18:58:08+03:00 2025-06-13T18:58:08+03:00In: Fursa

DAKTARI BINGWA WA MASIKIO, PUA NA KOO DARAJA LA II ( MEDICAL SPECIALIST – EAR,NOSE AND THROATS II) – 2 POST

  • 0
  • 0
DAKTARI BINGWA WA MASIKIO, PUA NA KOO DARAJA LA II ( MEDICAL SPECIALIST - EAR,NOSE AND THROATS II) - 2 POST
POSTDAKTARI BINGWA WA MASIKIO, PUA NA KOO DARAJA LA II ( MEDICAL SPECIALIST – EAR,NOSE AND THROATS II) – 2 POST
EMPLOYERMDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:2025-06-13 2025-06-26
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika.ii.              Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi.iii.             Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.iv.             Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.v.              Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake.vi.             Kusimamia wafanyakazi walio chini yake Kubuni.vii.           kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo.viii.          Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.ix.             Kutoa huduma za outreach katika kanda.x.              Kutoa huduma za medical legalxi.            Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya.xii.           Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini.xiii.         Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya 2 kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya.xiv.          Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.xv.           Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya.
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa wenye Shahada ya Uzamili ya Udaktari Bingwa au PhD kwenye fani ya Udaktari wa Masikio, Pua na Koo kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.
REMUNERATIONTGHS G

Jiunge na Group la WhatsApp

Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • Ajira Mpya Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC)- 2025

    • 0 Answers
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO ULIOFANYIKA TAREHE 15/06/2025

    • 0 Answers
  • Mshahara wa Clinical Officer (CO) ni kiasi gani?

    • 1 Answer
  • Ajira Portal login Page - Sekretarieti ya Ajira 2025

    • 0 Answers
  • HESLB Samia Scholarship Application Guideline for 2025 - 2026

    • 0 Answers

Trending

Ajira Ajira Portal Halmashauri HESLB JKT Kazini MDAs & LGAs Mshahara Oteas Usaili

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360