
POST | MSAIDIZI LISHE DARAJA LA II – 10 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-13 2025-06-26 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kutambua, kuorodhesha na kuweka kumbukumbu za watoto chini ya miaka mitano na makundi mengine yanayoathiriwa na lishe duni ngazi ya kijiji na kata.ii.Kufuatilia na kutoa ushauri wa lishe kwa kaya zenye watoto wenye lishe duni,iii.Kuelekeza watoto na makundi mengine yanayoathiriwa na lishe duni wapelekwe kwenye kituo cha afya kwa huduma zaidi,iv.Kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za lishe zinazotolewa kwa makundi mbalimbali kwenye kata/kijiji,v.Kukusanya taarifa na takwimu za lishe katika sehemu yake ya kazi, |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti cha miaka miwili cha mafunzo ya lishe kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGS A |
Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.