Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 803
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 1
  • 1
MemoTeacher
Asked: June 13, 20252025-06-13T19:04:18+03:00 2025-06-13T19:04:18+03:00In: Fursa

TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST II) – 193 POST

  • 1
  • 1
TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST II) - 193 POST
POSTTABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST II) – 193 POST
EMPLOYERMDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:2025-06-13 2025-06-26
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi.ii.Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida.iii.Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo.iv.Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi.v.Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya za Mfuko wa Afya ya Jamii.vi.Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma.vii.Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji.viii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi 
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa wenye Stashahada ya Tabibu wa Meno(Diploma in Clinical dentistry) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, pia awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari.
REMUNERATIONTGHS B

Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • OFFICE ASSISTANT II - 16 POST TPA

    • 0 Answers
  • SECURITY GUARD II - 50 POST TPA

    • 0 Answers
  • PLANNING OFFICER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • HYDROGRAPHER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • DIVER II - 5 POST TPA

    • 0 Answers

Trending

Ajira HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara SIKONGE TPA Usaili Utumishi

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360