Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 806
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoBegginer
Asked: June 13, 20252025-06-13T19:08:57+03:00 2025-06-13T19:08:57+03:00In: Fursa

AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) – 396 POST

  • 0
  • 0
AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) - 396 POST
POSTAFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) – 396 POST
EMPLOYERMDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:2025-06-13 2025-06-26
DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa   ii.    Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa.                           iii.    Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza                          iv.    Kuandaa taarifa mbali mbali za Afya ya Mazingira katika ngazi ya kata na kuziwasilisha katika mamlaka husika.                            v.    Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira, katika kata na kutoa mrejesho ili kuchukua hatua zinazostahili.                          vi.    Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii.                         vii.    Kukagua mazingira katika sehemu zinapotengenezwa vyakula ili kuhakikisha usalama na afya ya jamii.                        viii.    Kusimamia sheria za afya ya mazingira katika ngazi ya Kata pamoja na kusaidia jamii katika kutengeneza sheria ndogondogo.                          ix.    Kuhamasisha jamii katika kuboresha vyanzo vya maji na Usafi wa Mazingira.                            x.    Kuhamasisha jamii kuhusu utekelezaji wa Huduma za Afya ya Msingi katika ngazi ya Kata.                          xi.    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa wenye Stashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na wawe amesajiliwa na Bodi ya Wataalamu wa Afya Mazingira.
REMUNERATIONKwa kuzingatia Ngazi za mishahara y

Jiunge na Group la WhatsApp

Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MJI MASASI 16-06-2025

    • 0 Answers
  • DEREVA DARAJA II - 5 POST MASASI

    • 0 Answers
  • MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II - 5 POST MASASI

    • 0 Answers
  • MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II - 4 POST MASASI

    • 0 Answers
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE ...

    • 0 Answers

Trending

Ajira Ajira Portal HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara Oteas SIKONGE Usaili

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360