
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Shirika la Ndege Tanzania Air Tanzania Company Limited (ATCL) ni kampuni ya umma iliyosajiliwa chini ya Sheria ya Makampuni (CAP 212) ya mwaka 2002 baada ya kuvunjwa kwa shirika la zamani la Air Tanzania Corporation (ATC). Kazi kuu ya kampuni ni kusafirisha abiria na mizigo, ambapo pia ilirithi haki za uendeshaji za ATC ya zamani. Kampuni hii inamilikiwa kwa asilimia 100 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa sasa, ATCL inaendelea kutekeleza mpango mkakati wa miaka 5 unaolenga kupanua idadi ya ndege na mtandao wa safari zake, sambamba na kuimarisha mafanikio yaliyopatikana ndani ya kipindi cha miaka 10 iliyopita. Lengo kuu ni kuwa shirika la ndege linalopendwa na wateja kwa kutoa huduma za kuaminika, zisizo na usumbufu, salama, na zenye ubora wa hali ya juu.
Kwa nia ya kuimarisha huduma za matengenezo, usalama na uendeshaji wake kulingana na mpango wa upanuzi uliopo, ATCL inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi mbalimbali za ajira kama ifuatavyo:
Ajira Mpya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL)
1. Nafasi zilizotangazwa jumla ni 64
First of all i would like to promise to do work respectively and to care every customer effectively as i sappose to do and to follow all roles.Thanks
Im interested to work with you
Ninafuraha kuwasilisha maombi yangu kwa nafasi hii ya kazi. Nina uwezo, nidhamu, na uzoefu unaohitajika kwa nafasi hii. Nimekuwa nikijifunza na kufanya kazi kwa bidii katika mazingira yanayofanana, na naamini nitatoa mchango chanya kwa taasisi yenu. Niko tayari kujifunza zaidi na kufanya kazi kwa ushirikiano ili kufanikisha malengo ya shirika.
I need are jop
Mimi ni saidi Abdi Rashid naomba nafasi za kazi katika shirika la ndege tanzania nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote pia nitaambatanisha vivuli vya vyeti vyangu vyote kwako kwa ujenzi wa taifa:Kwa Mawasiliano 065720428
Lengo sio kufanya kazi tu pia kuifanya Tanzania kuwa top(juu) East Africa na Africa kwa ujumla.
I’m interested and ready to work for my Tanzania transportation growth. I’m eligible for any work that needs strength and knowledge, integrity is my best uniform, thanks for the opportunity, looking forward to work with air Tanzania detectible team work.
am interested and more confident in this job
plz hire me
I’m interested and ready to work with you and ihave displine
First of all would like to promise to do work respectively and i sappose to do hard work and to follow all roles , thanks