Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 886
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoTeacher
Asked: June 14, 20252025-06-14T13:46:29+03:00 2025-06-14T13:46:29+03:00In: Fursa

AFISA MLEZI WA WATOTO DARAJA LA II – (CHILD CARE OFFICER II) – 3 POST

  • 0
  • 0
AFISA MLEZI WA WATOTO DARAJA LA II – (CHILD CARE OFFICER II) - 3 POST
POSTAFISA MLEZI WA WATOTO DARAJA LA II – (CHILD CARE OFFICER II) – 3 POST
EMPLOYERMDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:2025-06-13 2025-06-26
DUTIES AND RESPONSIBILITIES      i.         Kuandaa mpango wa malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya kila mtoto katika kituo husika      ii.         Kuwasilisha maombi ya usajili yaliyokidhi vigezo ili kupata kibali cha usajili cha Kamishna wa Ustawi wa Jamii iii. Kutoa ushauri wa kurekebisha na kufanyia maboresho maombi yaliyokuwa na dosari/ kupungikiwa vigezo vya usajili.     iii.         Kutoa msaada wa kisaikolojia kwa wahudumiwa, walezi na wazazi juu ya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya watoto.    iv.         Kuandaa na kuhakiki regista ya wahudumiwa katika eneo la huduma husika,      v.         Kupitia maombi ya rufaa ya mashauri yaliyo nje ya uwezo wake,    vi.         Kuandaa taarifa zinazohusu malezi na maendeleo ya watoto na kuziwasilisha katika ngazi husika, viii. Kushiriki kufanya usimamizi, ufuatiliaji na tathmini ya huduma zilizotolewa katika eneo husika,   vii.         Kushiriki kukagua na kuhakiki ubora na viwango vya huduma za malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya watoto katika vituo, 
QUALIFICATION AND EXPERIENCESifa za kuingilia moja kwa moja Kuajiriwa mtumishi mwenye Shahada/Stashahada ya Juu katika mojawapo ya fani zifuatazo, Elimu ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto, Ustawi wa Jamii, Saikolojia au fani nyingine zinazofanana na hizo kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
REMUNERATIONTGS.D

Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea angalia PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • OFFICE ASSISTANT II - 16 POST TPA

    • 0 Answers
  • SECURITY GUARD II - 50 POST TPA

    • 0 Answers
  • PLANNING OFFICER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • HYDROGRAPHER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • DIVER II - 5 POST TPA

    • 0 Answers

Trending

Ajira HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara SIKONGE TPA Usaili Utumishi

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360