Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 894
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoBegginer
Asked: June 14, 20252025-06-14T15:24:07+03:00 2025-06-14T15:24:07+03:00In: Elimu

Jinsi ya kujisajili kwenye Mfumo wa Udahili wa Vyuo vya Ualimu (TCMS) 2025

  • 0
  • 0
Jinsi ya kujisajili kwenye Mfumo wa Udahili wa Vyuo vya Ualimu (TCMS) 2025

Jiunge na Group la WhatsApp

Hapa chini ni maelezo ya jinsi ya kujisajili kwenye Mfumo wa Udahili wa Vyuo vya Ualimu (TCMS) 2025 kutuma maombi kuomba kusoma vyuo vya walimu 2025/2026 Pia, Utaangalia sifa za kujiunga na kila chuo cha walimu, ada, kozi zinazotolewa.

KipengeleMaelezo
Kiunganishi cha MfumoTembelea https://tcm.moe.go.tz kwa kutumia kivinjari chochote. Ukurasa wa nyumbani utafunguka na utaona viungo kama Login, Create Account, Admission GuideBook, na System User Manual.
Kutengeneza AkauntiBonyeza Create Account. Jaza namba ya mtihani wa kidato cha nne (mfano S3610/0052), chagua mwaka wa kuhitimu, kisha bonyeza Register. Ukifanikiwa, utaelekezwa hatua inayofuata.
Kujaza Taarifa BinafsiMfumo utavutia jina, jinsia na namba ya mtihani kutoka NECTA. Jaza namba ya simu, tarehe ya kuzaliwa, uraia, anwani, mkoa na wilaya. Weka barua pepe, nywila na thibitisha nywila. Kisha bonyeza Register.
Kuthibitisha Barua PepeBaada ya kujisajili, utatumiwa kiungo kwenye barua pepe yako. Bonyeza kiungo hicho ili kuweza kuingia kwenye akaunti yako.
Kuingia Kwenye Mfumo (Login)Tembelea tena https://tcm.moe.go.tz, nenda upande wa kulia chini ya System Links na bonyeza Login.
Kuanza MaombiBaada ya kuingia, bonyeza Apply for Admission.
Kuchagua TangazoChagua tangazo la kozi linaloendana na vigezo vyako (mfano kidato cha nne au sita). Bonyeza Apply.
Taarifa za ElimuMfumo utaonyesha matokeo yako ya kidato cha nne. Hakikisha ni sahihi na bonyeza Apply. Ukisoma kidato cha sita, ingiza namba na mwaka. Kama hukusoma, bonyeza Skip.
Taarifa za Walimu (Grade IIIA)Wale waliosoma ualimu daraja la Tatu A (GATCE) watajaza taarifa zao. Wanaotaka kujiendeleza watajaza pia. Wengine bonyeza Skip.
Kozi Maalumu za Grade IIIAIngiza index number na mwaka wa kuhitimu kama unahusika. La sivyo bonyeza Skip.
Kuchagua Programu na KoziChagua kozi tatu unazopendelea. Kisha bonyeza Next.
Mahitaji MaalumuKama huna mahitaji maalumu, chagua No. Kama unayo, chagua Yes, eleza aina ya mahitaji, na toa maelezo mafupi. Bonyeza Next.
Kuhakiki MaombiMfumo utaonyesha muhtasari wa maelezo yote: taarifa binafsi, kozi ulizochagua, elimu ya sekondari na mahitaji maalumu. Hakiki, kisha bonyeza Submit Application.
Mrejesho wa MaombiUkishabofya Submit, ujumbe wa mafanikio utaonekana.
MsaadaKwa msaada zaidi, tumia kiungo cha mazungumzo kwenye mfumo au wasiliana kupitia barua pepe: helpdesk@moe.go.tz au simu: +255 714 292 811.

Pakua tangazo hapa kutoka Wizara ya Elimu Tanzania https://www.moe.go.tz/sw

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • Nafasi za Kujiunga na Vyuo kwa Wanafunzi wa Kidato cha ...

    • 0 Answers
  • NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (ACSEE)- 2025/2026 PDF

    • 0 Answers
  • Machaguo ya Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya ...

    • 0 Answers
  • Maombi ya Leseni za Uuguzi na Ukunga (TNMCIS)- 2025

    • 0 Answers
  • HESLB Diploma Application Guidelines for 2025 - 2026

    • 1 Answer

Trending

Ajira Ajira Portal HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara Oteas SIKONGE Usaili

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360