
Haya hapa matokeo ya usaili wa vitendo uliofanyika tarehe 15/06/2025 Utumishi/Ajira portal Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.