Fomu ya Kujiunga na Kidato cha Tano Shule ya Sekondari TUNDUMA TC

Fomu ya Kujiunga na Kidato cha Tano Shule ya Sekondari TUNDUMA TC 2025

  • Posted by:
  • Posted on:
  • Category:
    ElimuElimu
  • System:
    Unknown
  • Price:
    USD 0

Hii hapa Fomu ya Kujiunga na Kidato cha Tano Shule ya Sekondari TUNDUMA TC 2025 Nafurahi kukutaarifu kuwa mwanao amechaguliwa kujiunga Kidato cha Tano katika Shule hii mwaka 2023 na atasoma tahasusi ya (HGK, HKL,HGE, HGL,HGLi) (Kata tahasusi ambayo hujachaguliwa).

Shule ya Sekondari TUNDUMA TC

Shule ya Sekondari TUNDUMA TC ipo umbali wa Kilometa kumi (10km)- kutoka kituo cha mabasi MPEMBA kwa wale wanaotokea barabara kuu 3 ya MBEYA-TUNDUMA. Usafiri wa daladala kutoka MPEMBA stendi unapatikana katika kituo cha Mabasi Mpemba.Nauli ni Shilingi 700 kwa daladala , pikipiki 3000, na Shilingi 1000 kwa bajaji hadi shuleni.Kwa wale wanaotokea barabara kuu ya SUMBAWANGA-TUNDUMA washukie kituo kidogo cha mabasi Kilimanjaro au Sogea kutokea hapo ni umbali wa kilomita moja kufika shuleni.

Muhula wa Masomo utaanza tarehe 01/07/2025 hivyo mwanafunzi anatakiwa kuripoti shuleni kuanzia tarehe 28/06/2025 Mwisho wa kuripoti ni tarehe 10/07/2025 fatilia taarifa kamili kutoka tovuti ya Tamisemi Tanzania.

Pakua PDF hapa.

Soma makala zaidi:

  1. Jinsi ya kusajili Majina ya Biashara BRELA 2025
  2. Jinsi ya Kusajili Kampuni BRELA 2025
  3. Nafasi za Kazi Qatar Airways Tanzania 2025
  4. Matokeo ya Usaili Air Tanzania (ATCL) 2025
  5. Nafasi za Kazi Mwanga Hakika Bank Tanzania 2025
Rating

0

( 0 Votes )
Please Rate!
Fomu ya Kujiunga na Kidato cha Tano Shule ya Sekondari TUNDUMA TC 2025

No votes so far! Be the first to rate this post.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *