- Posted by:
- Posted on:
- Category:
AjiraAjira - System:
Unknown - Price:
USD 0
Matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 03 Mei, 2025 katika Chuo Kikuu Shirikishi cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE). Kampuni ya Ndege Tanzania inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika tarehe 3 Mei, 2025 katika kada mbalimbali kuwa ratiba ya usaili wa vitendo na mahojiano ni kama ilivyoanishwa kwenye jedwali hapa chini;
Soma makala zaidi: