- Posted by:
- Posted on:
- Category:
AjiraAjira - System:
Unknown - Price:
USD 0
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Shinyanga limekuwa likitoa huduma kwawatoto wanaotoka kwenye kaya maskini kupitia kituo cha Huduma ya maendeleo kamilifu ya Mtoto (HolisticChild Development Ministry) kwa kushirikiana na Shirika la Compassion International Tanzania (CIT). Kanisakupitia Program za maendeleo kamilifu ya mtoto linalenga kuwafungua watoto katika umaskini kwenyemaeneo ya Kiroho, Kiuchumi, Kijamii na Kimwili (ambao ndio ujumla wa mtu), kwa shabaha yakuwawezesha wawe watu wazima wanaojua wajibu wao na wanaojitosheleza.
Watumishi wote wa Vituo vya Huduma ya Mtoto na Kijana ni waajiriwa wa kanisa la AICT kupitia Ofisi yaKatibu wa Dayosisi hivyo atawajibika kwa Katibu wa Dayosisi ya Shinyanga, na kusimamiwa moja kwamoja na Mchungaji Kiongozi (Kwa niaba ya Baraza la Local Church) na Kamati ya Huduma ya Mtoto, kwamujibu wa Mwongozo wa Ajira ya Dayosisi na Huduma ya Mtoto kiujumla ya Compassion InternationalTanzania (CIT) katika Ushirikawenza na Makanisa ya Kiinjili Tanzania.
Katibu wa Dayosisi AICT Dayosisi ya Shinyanga (Kwa niaba ya Baraza la Utendaji la AICT Dayosisi yaShinyanga), anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi zifuatazo:
Soma zaidi: