- Posted by:
- Posted on:
- Category:
AjiraAjira - System:
Unknown - Developer:
Chuo cha Mbeya - Price:
USD 0
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi 2025 Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mbeya (MUST) kilianzishwa kufuatia mageuzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Mbeya (MIST) kupitia Sheria ya Vyuo Vikuu Na. 7 ya mwaka 2005 na Hati ya Chuo Kikuu cha Mbeya ya mwaka 2013. Dira ya Chuo hiki ni kuwa kitovu kinachoongoza kwa ubora katika maarifa, ujuzi na elimu tumizi katika sayansi na teknolojia.
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mbeya (MUST) kinawakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki na ari ya kazi kuomba nafasi sita (06) za kazi zilizo wazi kama zilivyoainishwa hapa chini.
Ajira zilizotangazwa
Soma zaidi: