- Posted by:
- Posted on:
- Category:
AjiraAjira - System:
Unknown - Price:
USD 0
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi ESRF 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa zote waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya zilizotangazwa kupitia makala hii.
Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) ni taasisi huru ya utafiti wa sera, yenye makao yake makuu jijini Dar es Salaam, Tanzania. ESRF ilianzishwa mwaka 1994 kama jibu kwa hitaji linalozidi kuongezeka la kuwa na chombo mahususi cha kitaalamu kitakachojikita katika kufanya tafiti kwa ajili ya uchambuzi wa sera na ujenzi wa uwezo wa kitaasisi na kitaalamu.
Kupitia kazi zake, ESRF imejipambanua kama jukwaa muhimu la kuchambua masuala ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii, likiwa na lengo la kusaidia serikali na wadau mbalimbali katika kufanya maamuzi yenye tija kwa ustawi wa taifa.
Soma makala zaidi:
- Matokeo ya Usaili wa TRA Angalia hapa 26/04/2025
- Jinsi ya Kutuma Malalamiko Matokeo ya Usaili TRA 2025 Angalia hapa
- Nafasi za Kazi Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) 2025
- Nafasi za Kazi Wilaya ya Same 2025
- Walioitwa Kazini TARURA 2025