Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi ITM Tanzania 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa zote waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya zilizotangazwa kupitia makala hii.
Tunausaidia makampuni ya ndani na ya kimataifa katika kutafuta na kuajiri wafanyakazi wenye ujuzi wa hali ya juu kwa nafasi mbalimbali katika sekta kama vile uagizaji na usafirishaji wa bidhaa (import na export), mawasiliano ya simu, mafuta na gesi, utengenezaji wa bidhaa, ujenzi, ushauri wa kitaalamu (consultancy), na teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT), miongoni mwa nyingine nyingi.
[dlpro-gallery image_url=”https://makala360.com/wp-content/uploads/2025/05/ITM-Vacancies.png”%5D
Soma makala zaidi:
Leave a comment