Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) 2025, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki, ujuzi na ari ya kufanya kazi kuomba nafasi sita (6) wazi kama ilivyoainishwa hapa chini:
Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) ni idara ya kisayansi chini ya Serikali ya Tanzania. Wanasayansi wa GST huchunguza mandhari ya Tanzania pamoja na rasilimali zake za asili na hatari zinazoweza kutokea. Kazi ya taasisi hii ni ya kisayansi na ya taaluma mbalimbali ikihusisha biolojia, jiografia, jiolojia na hydrologia. GST ni kundi la kitaalamu la ukusanyaji wa taarifa za kisayansi, linalofanya kazi chini ya Wizara ya Madini. Taasisi hii ilianzishwa mwaka 1925 chini ya utawala wa kikoloni wa Kiingereza.
Gusa picha hapa kuona ajira zilizotangazwa kisha tuma maombi kupitia linki hiyo hapo chini.
Soma makala zaidi:
Leave a comment