Walioitwa kazini Ajira Portal/Utumishi (Public Service Recruitment Secretariat) tembelea tovuti rasmi kupitia ajira.go.tz kuona majina ya kuitwa walimu, afya na kada zingine kazini. Kisha bofya sehemu iliyoandikwa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala ...
Makala 360 Latest Questions
Toleo la FIFA Club World Cup 2025 litakuwa la kihistoria kwani ni mara ya kwanza kabisa mashindano haya yatashirikisha vilabu 32 kutoka mabara yote. Mashindano haya makubwa ya vilabu yatafanyika nchini Marekani kuanzia tarehe 15 Juni 2025, yakiwakutanisha ...
Tangazo la Nafasi za Kazi CNS Tanzania kwa watanzania wote wenye nia kutuma maombi kuanzia sasa kujaza ajira mpya. Tuma maombi hapa https://www.cnsgroup.co.tz/job-openings
Shirika la Reli Tanzania (TRC) ni shirika la umma linalosimamia na kuendesha huduma za reli nchini Tanzania, likiwa na dhamira ya kutoa usafiri wa uhakika, salama na wa kisasa kwa abiria na mizigo.
Selection Form Five 2025 to 2026 Uchaguzi wa waliochaguliwa wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano kwa mwaka wa masomo 2025/2026 unaratibiwa na TAMISEMI (Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa). Huu ni mchakato ...
Majina ya waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi kwa mwaka 2025 tayari yametangazwa. Waombaji waliofanikiwa wametakiwa kuripoti katika vituo maalum vilivyopangwa kwa ajili ya kuanza mafunzo ya kijeshi.
POST: RECEPTIONIST II – 5 POSTEmployer: Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)More Details2025-07-09