Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Ajira Portal 30 May 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 05-04-2025 ...
Makala 360 Latest Questions
TRA Yatangaza Matokeo ya Usaili wa Mahojiano – Jumla ya Ajira 1,896 Kupatikana (Oral Interview) Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inakumbusha umma kwamba mnamo Februari 2025, ilitangaza nafasi za ajira zipatazo 1,596, ambapo ilipokea jumla ya maombi 135,027 ...
Nafasi za Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 ...