Majina ya waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania 2025 tayari yametangazwa. Hii ni hatua muhimu kwa vijana waliotuma maombi ya kujiunga na jeshi hilo ili kupata mafunzo ya awali ya kijeshi kabla ya kuajiriwa rasmi.
Makala 360 Latest Questions
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatekeleza mradi wa miaka mitano (2021/2022- 2025/2026) wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (Higher Education for Economic Transformation (HEET)). Kupitia mradi wa HEET Wizara imetenga fedha kwa ajili ya ufadhili ...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Health Assistant Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) au Kidato cha Sita (Form VI) pamoja ...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Mechanical Engineer Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Shahada ya Kwanza (Bachelor) ya Uhandisi wa Mitambo (Mechanical Engineering) kutoka chuo kinachotambulika.
Ili kuanza mchakato wa kujisajili na TAESA, tembelea tovuti rasmi kupitia jobs.kazi.go.tz/portal. Kisha bofya sehemu iliyoandikwa Register au Jisajili. Utatakiwa kujaza taarifa zako binafsi kama vile jina kamili, tarehe ya kuzaliwa, jinsia, namba ya simu, barua pepe, ...
Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI, majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati kwa mwaka wa masomo 2025/2026 shule walizopangiwa walizochaguliwa kujiunga nazo PDF.