Mfumo wa Maombi ya Ajira wa Serikali unajulikana kama OTEAS (Online Teachers Application System), ambao hutumika kwa ajili ya kuomba nafasi za ajira, hasa za walimu, zinazotangazwa na serikali.
Makala 360 Latest Questions
Nafasi za Kazi – Ajira Mpya za Afya 6732 MDAs & ...
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Ajira Portal 30 May 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 05-04-2025 ...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III- Legal Officer Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Shahada ya Kwanza ya Sheria (LLB) pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Sheria kutoka Chuo ...
OTEAS ni mfumo rasmi wa kielektroniki unaotumiwa na TAMISEMI kwa ajili ya kupokea maombi ya ajira kutoka kwa walimu waliomaliza mafunzo yao ya ualimu nchini Tanzania. Mfumo huu hurahisisha mchakato wa kutuma maombi bila kwenda ofisini.
Form Five Selection 2025 to 2026 Uchaguzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano kwa mwaka wa masomo 2025/2026 unasimamiwa na TAMISEMI (Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa). Huu ni mchakato muhimu ambao hugawa ...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi MDAs & LGAs Ajira mpya za ...