Walioitwa Kazini TRA 2025, Baada ya matokeo ya Usaili Kutangazwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inafuraha kuwataarifu waombaji wote kuhusu hatua zilizofikiwa katika mchakato wa ajira uliotangazwa mwezi Februari 2025, ambapo nafasi 1,596 za kazi zilitangazwa kwa umma.
Makala 360 Latest Questions
TRA Yatangaza Matokeo ya Usaili wa Mahojiano – Jumla ya Ajira 1,896 Kupatikana (Oral Interview) Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inakumbusha umma kwamba mnamo Februari 2025, ilitangaza nafasi za ajira zipatazo 1,596, ambapo ilipokea jumla ya maombi 135,027 ...
Nafasi za Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 ...
Mabadiliko ya Tarehe na Mahali pa Usaili wa Mahojiano Utumishi Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote waliopangiwa kufanya usaili wa mahojiano TABORA, kituo cha usaili kitakuwa SHULE YA SEKONDARI MIRAMBO badala ...
Orodha ya majina ya Waliochaguliwa JKT 2025 (Kidato cha Sita JKT) PDF Angalia hapa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linawakaribisha vijana wote waliomaliza kidato cha sita mwaka 2025 kutoka Tanzania Bara kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Mujibu ...