Mabadiliko ya Tarehe na Mahali pa Usaili wa Mahojiano Utumishi Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote waliopangiwa kufanya usaili wa mahojiano TABORA, kituo cha usaili kitakuwa SHULE YA SEKONDARI MIRAMBO badala ...
Makala 360 Latest Questions
Vituo/Venue vya Usaili Kada Mbalimbali May mpaka Juni 2025 Wasailiwa wote watakaofanya usaili wa mahojiano wa mwezi Mei hadi Juni, 2025 mnasisitizwa kuzingatia mpangilio wa vituo vya usaili wa mahojiano kama uliovyoainishwa kwenye kiambatisho hapo chini. Pakua PDF hapa ...
Walioitwa kazini Ajira Portal/Utumishi (Public Service Recruitment Secretariat) tembelea tovuti rasmi kupitia ajira.go.tz kuona majina ya kuitwa walimu, afya na kada zingine kazini. Kisha bofya sehemu iliyoandikwa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala ...
Ili kuanza mchakato wa kujisajili na Ajira Portal, tembelea tovuti rasmi kupitia portal.ajira.go.tz. Kisha bofya sehemu iliyoandikwa Register au Jisajili. Utatakiwa kujaza taarifa zako binafsi kama vile jina kamili, tarehe ya kuzaliwa, jinsia, namba ya simu, barua ...
Ili kuanza mchakato wa kujisajili na TAESA, tembelea tovuti rasmi kupitia jobs.kazi.go.tz/portal. Kisha bofya sehemu iliyoandikwa Register au Jisajili. Utatakiwa kujaza taarifa zako binafsi kama vile jina kamili, tarehe ya kuzaliwa, jinsia, namba ya simu, barua pepe, ...