Majina ya waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania 2025 tayari yametangazwa. Hii ni hatua muhimu kwa vijana waliotuma maombi ya kujiunga na jeshi hilo ili kupata mafunzo ya awali ya kijeshi kabla ya kuajiriwa rasmi.
Makala 360 Latest Questions
Majina ya waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi kwa mwaka 2025 tayari yametangazwa. Waombaji waliofanikiwa wametakiwa kuripoti katika vituo maalum vilivyopangwa kwa ajili ya kuanza mafunzo ya kijeshi.
OTEAS ni mfumo rasmi wa kielektroniki unaotumiwa na TAMISEMI kwa ajili ya kupokea maombi ya ajira kutoka kwa walimu waliomaliza mafunzo yao ya ualimu nchini Tanzania. Mfumo huu hurahisisha mchakato wa kutuma maombi bila kwenda ofisini.
Mfumo wa Maombi ya Ajira wa Serikali unajulikana kama OTEAS (Online Teachers Application System), ambao hutumika kwa ajili ya kuomba nafasi za ajira, hasa za walimu, zinazotangazwa na serikali.
Hili hapa tangazo la Nafasi 50 za Kazi Conservation Ranger III- Forest Guard Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na elimu ya Sekondari ya Kidato cha Nne (Form IV) au Kidato cha Sita (Form ...