Kiwango cha Mshahara wa Assistant Tutor II – Marine Engineering Mhitaji awe na Diploma ya Kawaida (NTA ngazi ya 6) katika Uhandisi wa Meli kutoka chuo kinachotambulika.
Makala 360 Latest Questions
Mshahara wa Assistant Tutor II – Mechanical Engineering Mhitaji awe na Diploma ya Kawaida (NTA ngazi ya 6) katika Uhandisi wa Mitambo kutoka chuo kinachotambulika.
Mshahara wa Assistant Tutor II – Master Fisherman Mhitaji awe na Diploma ya Kawaida (NTA ngazi ya 6) katika Uvuvi wa Kitaalamu kutoka chuo kinachotambulika.
Mshahara wa Tutor II – Food Science Mhitaji awe na Shahada ya Kwanza (NTA 8) ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia kutoka chuo kinachotambulika. Mwombaji anatakiwa kuwa na wastani wa alama (GPA) usiopungua 3.0 kati ya 5.0 katika ...
Nafasi za Kazi Wilaya ya Kigoma Mei 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, kwa kushirikiana na Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS) kupitia Mradi wa Afya Hatua, wanakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa, ...