Nafasi za Kazi TASHICO, TMA – Ajira 59 Kwa niaba ya Tanzania Shipping Company Limited (TASHICO) na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wote wenye sifa na wanaopenda ...
Makala 360 Latest Questions
Nafasi za Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 ...
Hili hapa tangazo la Nafasi 50 za Kazi Conservation Ranger III- Forest Guard Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na elimu ya Sekondari ya Kidato cha Nne (Form IV) au Kidato cha Sita (Form ...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Health Assistant Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) au Kidato cha Sita (Form VI) pamoja ...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Office Management Secretary Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) akiwa amefaulu masomo ya Kiingereza na ...