Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Ajira Portal 30 May 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 05-04-2025 ...
Home/Ajira Portal
Makala 360 Latest Questions
Walioitwa kazini Ajira Portal/Utumishi (Public Service Recruitment Secretariat) tembelea tovuti rasmi kupitia ajira.go.tz kuona majina ya kuitwa walimu, afya na kada zingine kazini. Kisha bofya sehemu iliyoandikwa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala ...
Ili kuanza mchakato wa kujisajili na Ajira Portal, tembelea tovuti rasmi kupitia portal.ajira.go.tz. Kisha bofya sehemu iliyoandikwa Register au Jisajili. Utatakiwa kujaza taarifa zako binafsi kama vile jina kamili, tarehe ya kuzaliwa, jinsia, namba ya simu, barua ...