Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Health Assistant Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) au Kidato cha Sita (Form VI) pamoja ...
Makala 360 Latest Questions
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Office Management Secretary Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) akiwa amefaulu masomo ya Kiingereza na ...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Record Management Assistant Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Diploma (ngazi ya NTA 6) katika fani ya Usimamizi wa Kumbukumbu (Records Management) ...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III – Technician (Mechanical) Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Diploma katika fani ya Uhandisi wa Mitambo (Mechanical), kutoka chuo kinachotambulika.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Conservation Ranger III- Legal Officer Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwombaji anatakiwa awe na Shahada ya Kwanza ya Sheria (LLB) pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Sheria kutoka Chuo ...