Kiwango cha Mshahara wa Engineer II – Marine Mhitaji awe na Shahada ya Kwanza katika mojawapo ya fani zifuatazo: Uhandisi wa Meli, Ubunifu wa Meli, Uhandisi wa Mitambo ya Kusukuma Meli, Uhandisi wa Umeme wa Meli au fani ...
Home/Mshahara
Makala 360 Latest Questions
Kiwango cha Mshahara wa Assistant Tutor II – Refrigerator Engineering Mhitaji awe na Diploma ya Kawaida (NTA ngazi ya 6) katika Uhandisi wa Meli na Majokofu kutoka chuo kinachotambulika.
Kiwango cha Mshahara wa Assistant Tutor II – Marine Engineering Mhitaji awe na Diploma ya Kawaida (NTA ngazi ya 6) katika Uhandisi wa Meli kutoka chuo kinachotambulika.
Mshahara wa Assistant Tutor II – Mechanical Engineering Mhitaji awe na Diploma ya Kawaida (NTA ngazi ya 6) katika Uhandisi wa Mitambo kutoka chuo kinachotambulika.
Mshahara wa Assistant Tutor II – Master Fisherman Mhitaji awe na Diploma ya Kawaida (NTA ngazi ya 6) katika Uvuvi wa Kitaalamu kutoka chuo kinachotambulika.