
POST | AFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIRONMENTAL HEALTH OFFICER II) – 147 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-13 2025-06-26 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kutoa ushauri na kusimamia njia bora za usambazaji wa maji safi na salama na utupaji wa taka. ii. Kuelimisha jamii juu ya mbinu za kujikinga na kupambana na mlipuko ya magonjwa. iii. Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira. iv. Kusimamia utekelezaji wa Sheria zinazohusu Afya ya Mazingira. v. Kuandaa taarifa za utekelezaji na kuziwasilisha katika mamlaka husika. vi. Kuandaa na kufuatilia mikakati ya kuboresha na kusimamia usalama na afya kazini. vii. Kuhakiki afya bandarini na mipakani. viii. Kuratibu na kuhakiki kaguzi za vyakula, maji, kemikali, viwanda, sehemu za kazi na maeneo ya jumuiya. ix. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Shahada ya kwaza ya Sayansi za Afya ya Mazingira na mafunzo kazini kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali na wawe wamesajiliwa na Bodi ya Wataalamu wa Afya ya Mazingira |
REMUNERATION | TGHS C |
Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.