
POST | AFISA MLEZI WA WATOTO DARAJA LA II – (CHILD CARE OFFICER II) – 3 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-13 2025-06-26 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuandaa mpango wa malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya kila mtoto katika kituo husika ii. Kuwasilisha maombi ya usajili yaliyokidhi vigezo ili kupata kibali cha usajili cha Kamishna wa Ustawi wa Jamii iii. Kutoa ushauri wa kurekebisha na kufanyia maboresho maombi yaliyokuwa na dosari/ kupungikiwa vigezo vya usajili. iii. Kutoa msaada wa kisaikolojia kwa wahudumiwa, walezi na wazazi juu ya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya watoto. iv. Kuandaa na kuhakiki regista ya wahudumiwa katika eneo la huduma husika, v. Kupitia maombi ya rufaa ya mashauri yaliyo nje ya uwezo wake, vi. Kuandaa taarifa zinazohusu malezi na maendeleo ya watoto na kuziwasilisha katika ngazi husika, viii. Kushiriki kufanya usimamizi, ufuatiliaji na tathmini ya huduma zilizotolewa katika eneo husika, vii. Kushiriki kukagua na kuhakiki ubora na viwango vya huduma za malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya watoto katika vituo, |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Sifa za kuingilia moja kwa moja Kuajiriwa mtumishi mwenye Shahada/Stashahada ya Juu katika mojawapo ya fani zifuatazo, Elimu ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto, Ustawi wa Jamii, Saikolojia au fani nyingine zinazofanana na hizo kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali. |
REMUNERATION | TGS.D |
Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea angalia PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.