
| POST | AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 250 POST |
| EMPLOYER | MDAs & LGAs |
| APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-13 2025-06-26 |
| JOB SUMMARY | N/A |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kutoa huduma za uuguzi;ii.Kukusanya takwimu muhimu za afya;iii.Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake;iv.Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya;v.Kutoa huduma za kinga na uzazi; navi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Shahada ya Uuguzi/Ukunga kutoka katika taasisi inayotambulika na Serikali pamoja na kuhitimu mafunzo ya kazi kwa vitendo na amesajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania. |
| REMUNERATION | TGHS C. |
Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.