
POST | AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II – (ASSISTANT NURSING OFFICER II) – 4015 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-13 2025-06-26 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kutoa huduma za uuguzi.ii. Kukusanya takwimu muhimu za afya.iii. Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake.iv.Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya.v. Kutoa huduma za kinga na uzazi.vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi, ya muda usiopungua miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania |
REMUNERATION | TGHS-B |
Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.