Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 787
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoTeacher
Asked: June 13, 20252025-06-13T18:48:10+03:00 2025-06-13T18:48:10+03:00In: Fursa

DAKTARI BINGWA WA MENO II (DENTAL SPECIALIST II) – 4 POST

  • 0
  • 0
DAKTARI BINGWA WA MENO II (DENTAL SPECIALIST II) - 4 POST
POSTDAKTARI BINGWA WA MENO II (DENTAL SPECIALIST II) – 4 POST
EMPLOYERMDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:2025-06-13 2025-06-26
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa ya kinywa na meno.ii.Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera ya Serikali juu ya afya ya kinywa na meno.iii.Kusimamia utekelezaji wa mipango ya kitaifa inayohusu afya ya kinywa na meno.iv.Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya ya kinywa na meno.v.Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.vi.Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za kinywa na meno.vii.Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.viii.Kuandaa upatikanaji wa vifaa na mahitaji mengine ya tiba ya meno katika ngazi ya taifa.ix.Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya ya kinywa na meno nchini.x.Kusimamia shughuli zote zinazohusu taaluma ya afya ya kinywa na meno katika wilaya na mikoa kupitia kwa wakuu wa afya katika ngazi hizo.xi.Kubuni, kusimamia na kuendesha utafiti katika maeneo mbalimbali ya afya.xii.Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo katika eneo lake la kazi.xiii.Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake.xiv.Kutoa huduma za medical legal.xv.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake. 
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa wenye shahada ya uzamili ya Udaktari Bingwa wa Meno (M.Med/M.Dent au PhD kwenye fani ya Udaktari wa meno) ya miaka mitatu au zaidi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.
REMUNERATIONTGHS G

Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • OFFICE ASSISTANT II - 16 POST TPA

    • 0 Answers
  • SECURITY GUARD II - 50 POST TPA

    • 0 Answers
  • PLANNING OFFICER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • HYDROGRAPHER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • DIVER II - 5 POST TPA

    • 0 Answers

Trending

Ajira HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara SIKONGE TPA Usaili Utumishi

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360