Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 891
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoTeacher
Asked: June 14, 20252025-06-14T14:10:05+03:00 2025-06-14T14:10:05+03:00In: Fursa

DAKTARI BINGWA WA UPASUAJI DARAJA LA II( MEDICAL SPECIALIST – GENERAL SURGEON II) – – 10 POST

  • 0
  • 0
DAKTARI BINGWA WA UPASUAJI DARAJA LA II( MEDICAL SPECIALIST - GENERAL SURGEON II) - - 10 POST
POSTDAKTARI BINGWA WA UPASUAJI DARAJA LA II( MEDICAL SPECIALIST – GENERAL SURGEON II) – – 10 POST
EMPLOYERMDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:2025-06-13 2025-06-26
DUTIES AND RESPONSIBILITIESKufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika. ii.Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi. iii.Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa. iv.Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya. v.Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake. vi.Kusimamia wafanyakazi walio chini yake Kubuni.vii.kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo. viii.Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.ix.Kutoa huduma za outreach katika kanda. x.Kutoa huduma za medical legal xi.Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya.xii.Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini. xiii.Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya 2 kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya. xiv.Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya. xv.Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya. 
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa wenye Shahada ya Uzamili ya Udaktari Bingwa au PhD kwenye fani ya Udaktari wa Upasuaji kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.
REMUNERATIONTGHS G

Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • OFFICE ASSISTANT II - 16 POST TPA

    • 0 Answers
  • SECURITY GUARD II - 50 POST TPA

    • 0 Answers
  • PLANNING OFFICER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • HYDROGRAPHER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • DIVER II - 5 POST TPA

    • 0 Answers

Trending

Ajira HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara SIKONGE TPA Usaili Utumishi

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360