Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Makala 360

Makala 360

Makala 360 Navigation

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask A Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 784
Next

Makala 360 Latest Questions

Memo
  • 0
  • 0
MemoTeacher
Asked: June 13, 20252025-06-13T18:43:28+03:00 2025-06-13T18:43:28+03:00In: Fursa

DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 186 POST

  • 0
  • 0
DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) - 186 POST
POSTDAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 186 POST
EMPLOYERMDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:2025-06-13 2025-06-26
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa ya kinywa na meno.ii.Kutoa na kusimamia elimu ya afya ya kinywa na meno.iii.Kuboresha afya ya kinywa na meno katika eneo lake la kazi na jamii.iv.Kuziba/kukarabati meno, upasuaji, utengenezaji wa meno, kurekebisha mataya (orthodontics).v.Kusimamia wafanyakazi walio chini yake.vi.Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.vii.Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyopo eneo lake la kazi.viii.Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo.ix.Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.x.Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya ya kinywa na meno. xi.Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (Medical audit and quality improvement).xii.Kutoa huduma za outreach katika wilaya/mkoa wakexiii.Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.xiv.Kupanga na kutathimini huduma za afya ya kinywa na meno katika eneo la kazi.xv.Kufanya utafiti katika maeneo mbali mbali ya afya ya kinywa na meno.xvi.Kufanyakazinyingineatakazopangiwanamkuuwakewakazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa wenye shahada ya udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali waliomaliza “Internship” na kusajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.
REMUNERATIONTGHS E

Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.

  • 0 0 Answers
  • 0 Followers
  • 0
  • Share
    Share
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
    • Share on LinkedIn
    • Share on WhatsApp
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Sidebar

Related Questions

  • OFFICE ASSISTANT II - 16 POST TPA

    • 0 Answers
  • SECURITY GUARD II - 50 POST TPA

    • 0 Answers
  • PLANNING OFFICER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • HYDROGRAPHER II - 3 POST TPA

    • 0 Answers
  • DIVER II - 5 POST TPA

    • 0 Answers

Trending

Ajira HESLB Kazini MASASI MDAs & LGAs Mshahara SIKONGE TPA Usaili Utumishi

Explore

© 2025 Makala 360. All Rights Reserved
Created by Makala360