
| POST | DEREVA DARAJA II – 3 POST | 
| EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Karatu | 
| APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-13 2025-06-27 | 
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;Kufanya usafi wa gari; naKufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake. | 
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. | 
| REMUNERATION | TGS B |