
POST | DEREVA DARAJA II – 5 POST |
EMPLOYER | Halmashauri ya Mji wa Masasi |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-16 2025-06-29 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;Kufanya usafi wa gari; naKufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGS B |