
POST | DEREVA II – 5 POST |
EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Moshi |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-16 2025-06-29 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari; Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi; Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari; Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali; Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari; Kufanya usafi wa gari; na Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | DEREVA II |
Tuma maombi hapa au Pakua PDF