Form Five Selection Majina 2025 waliochaguliwa kidato cha tano 2025 Kwanza kabisa, hongera sana kwa wote mliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka 2024! Kama umehitimu na unangoja shule walizopangiwa kujiunga na kidato cha tano 2025/2026, basi habari njema ni kwamba uko mahali sahihi kujua kila kitu kinachohusiana na majina ya waliochaguliwa.
Katika makala 360, tumekuandalia maelezo yote muhimu kuhusu namna ya kuangalia shule au chuo ulichopangiwa kupitia Selection za Form Five 2025. Iwe ni form five selection 2025, au updates kutoka NECTA—yote yapo hapa!
Yaliyomo kwenye Makala:
- TAMISEMI Selection 2025
- Majina ya Selection Form Five 2025/2026
- Selection of Form Five 2025
- Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025
- Post za Kidato cha Nne 2025
- Post za Shule Form Five 2025
Form five selection 2025 TAMISEMI

Kwa kawaida, Form five selection results hutolewa miezi 4 hadi 5 baada ya matokeo ya NECTA CSEE kutoka. Baada ya matokeo kutangazwa rasmi, majina ya waliochaguliwa huwekwa kwenye tovuti ya TAMISEMI au NECTA.
Unashauriwa kutembelea:
- http://www.tamisemi.go.tz
- http://www.necta.go.tz
Ili kujua lini Form five selection 2025 au mwaka husika yanatoka.
Kwa mwaka huu wa masomo 2025/2026, inatarajiwa kuwa Form five selection results yatatangazwa na TAMISEMI kwa kushirikiana na NECTA. Orodha ya kwanza ya waliochaguliwa (first round) inategemewa kutoka mwezi Mei au Juni, na ile ya pili (second round) mara nyingi hutolewa ifikapo Septemba.
Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano au Vyuo 2025/2026
Kama umefaulu mtihani wa kidato cha nne kwa daraja la kwanza hadi la tatu (Division I – III), na ulijaza Selform, basi uko kwenye nafasi nzuri ya kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano au chuo.
TAMISEMI ndiyo hutoa rasmi form five results, ambapo orodha ya waliochaguliwa huwekwa kwenye tovuti zao:
Angalizo: Hii makala ni kwa ajili ya kutoa mwanga tu, siyo mbadala wa taarifa rasmi kutoka TAMISEMI au wizara yoyote ya serikali.
Majina ya Form Five 2025 Yatolewa Leo?
Kwa kawaida, Form five selection huwa inatolewa na TAMISEMI, ambao wana jukumu la kusimamia maendeleo ya mikoa na halmashauri nchini. Wana kazi ya kuratibu maendeleo ya maeneo ya vijijini na mijini, na kuhakikisha kuna uwiano katika sekta ya elimu kwa ngazi ya serikali za mitaa.
Namna ya Uchaguzi unavyofanywa
Wanafunzi waliopata Division I – III kwenye mtihani wa CSEE, na waliojaza selform wakichagua kuendelea na kidato cha tano au kwenda vyuoni, huchukuliwa kwenye mchakato wa Form five selection kulingana na ufaulu wao. NECTA walitangaza matokeo ya Form Four mnamo Januari 2025.
Kwa hiyo kama wewe ni kati ya waliofaulu, bila shaka sasa unajiuliza: “Lini wanatoa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano 2025?” — Majibu ni mwezi Mei au Juni kwa first-round selection.