
Haya hapa matokeo ya usaili wa Vitendo Dreva Daraja la II Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.