
POST | MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST II) – 30 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-13 2025-06-26 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuhudumia kamati mbalimbali za Bunge(Kamati za mahesabu ya Serikali,Kamati ya mahesabu ya mashirika ya Umma); ii. Kukusanya takwimu na taarifa mbali mbali za kiuchumi kwa ajili ya uchambuzi na uandaaji wa sera na mipango ya kiuchumi na kijamii; iii. Kufanya utafiti na uchambuzi wa sera na vigezo vya kiuchumi jumla; iv. Kufanya utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika; v. Kukusanya taarifa na takwimu zinazohitaji kakati kakubainisha vipaumbele vya ustawi na maendeleo ya jamii; na vi. Kutayarisha na kusambaza takwimu na taarifa za kiuchumi kwa wadau. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fanizifuatazo; Uchumi(Economics), Sayansi ya Uchumi Kilimo (BSc. Agriculture Economics &Agribusness) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta. |
REMUNERATION | TGS.D |