
POST | MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 124 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-13 2025-06-26 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kuainisha mahitaji ya dawa na vifaa na kuandaa bajeti yake.ii.Kuagiza,kununua,kuhifadhi na kusambaza dawa na vifaa tiba katika kituo chake cha kazi.iii. Kuweka kumbukumbu za dawa.iv.Kuandaa orodha ya dawa za hospitali (Hospital Fomulary) kwa matumizi ya kituo anapofanya kazi.v. Kutoa dawa na vifaa tiba kwa wagonjwa.vi.Kusimamia matumizi sahihi ya dawa.vii.Kutengeneza dawa(compounding) kwa matumizi ya kituo anapofanya kazi.viii.Kukagua maduka ya dawa katika sekta binafsi.ix.Kutoa taarifa juu ya madhara yanayotokana na matumizi ya dawa (Adverse drug reaction).x.Kuwa katibu wa kamati Tiba ya Hospitali (Hospital Therapeutic Commitee) anapofanya kazi.xi.Kuelimisha watumishi walio chini yake, watumishi wengine wa sekta ya afya na jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa.xii.Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Dawa katika kituo anapofanya kazi.xiii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye shahada ya Famasi kutokachuo kinachotambuliwanaSerikaliwaliohitimu mafunzo ya vitendo kazini (Internship) ya mwaka mmoja ambao wamesajiliwa na Baraza la Famasi. |
REMUNERATION | TGHS-B |
Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.