
POST | MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 4 POST |
EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-13 2025-06-26 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers)Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa WatendajiKurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwaKufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking) |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta. |
REMUNERATION | TGS C |
Tuma maombi hapa, Usitume maombi kimazoea subiria PDF ili uwe na address unayotakiwa kuweka kwenye barua ya maombi.