Kiwango cha Mshahara wa Engineer II – Marine Mhitaji awe na Shahada ya Kwanza katika mojawapo ya fani zifuatazo: Uhandisi wa Meli, Ubunifu wa Meli, Uhandisi wa Mitambo ya Kusukuma Meli, Uhandisi wa Umeme wa Meli au fani nyingine inayofanana kutoka chuo kinachotambulika. Lazima awe amesajiliwa na Bodi ya Wahandisi (ERB) katika ngazi ya Wahitimu.

Mshahara ni PGSS.7